Handsome-up..

Handsome-up..

Mtoto mkubwa

Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
68
Reaction score
23
Naomba kuuliza, Ntapata wapi hansome up, kwa hapa dar. anaejua anijuze na je beiyake shilingi ngapi, Ahsante..
 
Ndo nn hyo
hii
images-5.jpeg
 
doh, uyu jamaa kaamka breki ya kwanza anataka arefushe uume ? aisee, sisi tuko kiwandani uku tunachapa kazi
😂😂😂hata hicho ni kiwanda kwa kiasi chake coz kinazalisha

za asubuhi bwana drone drake , naeza pata drone za kufanya saviliensi kwa mnaodai mna viwanda ili niwe na uhakika wa kodi
 
😂😂😂hata hicho ni kiwanda kwa kiasi chake coz kinazalisha

za asubuhi bwana drone drake , naeza pata drone za kufanya saviliensi kwa mnaodai mna viwanda ili niwe na uhakika wa kodi
😂😂😂😂😂😂 , 'nimeajiriwa' kiwandani, sina kiwanda mimi, drone=nyuki dume, drake=bata dume, maana yake nna 'dushe 2', ila siuzi zile 'drone' za kupaa
 
😂😂😂😂😂😂 , 'nimeajiriwa' kiwandani, sina kiwanda mimi, drone=nyuki dume, drake=bata dume, maana yake nna 'dushe 2', ila siuzi zile 'drone' za kupaa
😂😂😂 dushe ngapiii 😂😂😂😂 jamaa anaetaka hadsome up si umpunguzie kiainaaa
 
Back
Top Bottom