Usiku wa kuamkia leo kulikuwa na pambano Kali la ngumi Kati ya Ryan Garcia na Devin Haney pambano ambalo Davin aliangushwa chini mara 4 huku akichezea kichapo kikali,
Kumbuka Davin ni bondia ambae amekuwa akibebwa sana hasa katika pambano pake na Lomachenko vasily alipigwa lakini ushindi akapewa yeye