Hangaika na mahusiono yako :: Wiki imekuwa ngumu sana hii

Maisha yanapokuwa magumu kwako.... kwa mwenzako yanazidi kunoga.
Waacheni waenjoy maisha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kuna tatizo sehemu kama unamchukia mtu ambae hakujui wala hamna uhusiano wa aina yoyote yale na wala haugusi na hagusi maisha yako,kuna aina nyingi za matatizo ya akili kwa maelezo ya wataalamu.
 
Kuna tatizo sehemu kama unamchukia mtu ambae hakujui wala hamna uhusiano wa aina yoyote yale na wala haugusi na hagusi maisha yako,kuna aina nyingi za matatizo ya akili kwa maelezo ya wataalamu.
[emoji106]

-Ndumilakuwili-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…