Hanger za nguo za watoto

kilaboy

Senior Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
150
Reaction score
97
Habari zenu wana jamvi wenzangu. Tafadhali nina uhitaji wa hanger kwa ajili ya nguo za watoto. Kwa yeyote mwenye kujua chimbo kwa Dar tafadhali nifahamishe na ikiwezekana niunganishe na mhusika. Mimi nipo Tanga.

Natanguliza shukrani.
 
Nimeziona K.KOO

kuna duka moja niliingia

sina namba za wahusika

fanya uje dar au tafuta anaeishi dar (awe mtu unaemfahamu)

akakuchukulie "zipo nyingi na style tofauti"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…