Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
muulize huyoAre you sure we unamridhisha??
Nimekuwa nikipata taabu kwa muda mrefu kwani mke wangu hanilizishi kabisa, na wazazi wangu hawataki nimuache nisaidieni wanaJF
hana la kujibu sababu ni vitu vya kulopoka tuu!hebu jibu maswali ulioulizwa hapo juu
Nimekuwa nikipata taabu kwa muda mrefu kwani mke wangu hanilizishi kabisa, na wazazi wangu hawataki nimuache nisaidieni wanaJF
Mwambie unataka nini ndio uridhike alafu mpe muda uone kama atabadilika.
Nimekuwa nikipata taabu kwa muda mrefu kwani mke wangu hanilizishi kabisa, na wazazi wangu hawataki nimuache nisaidieni wanaJF
Haahaaaa jamaa kasepa! Maswali yenu 'hayamlizishi' kabisaaaaa!!hebu jibu maswali ulioulizwa hapo juu
Haahaaaa jamaa kasepa! Maswali yenu 'hayamlizishi' kabisaaaaa!!