Hanipi denda

nah nah! unadhani maprof wa muhimbili wanachoma sindano ama wanafundisha tu? jiandikishe tuition, ila practical study units can be anything to expand the horizon

Can you translate that in plain language?

1. Unanuka mdomo?

2. Unamsukumizia mimate/mabaki ya chakula mwenzio wakati wa denda

3. Hujui kukiss

4. Hupigi mswaki vizuri

Yaani nimecheka mpaka machozi yaani!

swaki ulimi huo na uki kiss usimwekee li ulimi lako lote kinywani wengine wanasikia kinyaa

Ukijiunga na choir kanisani mchungaji/padre atalewa na kusinzia.

Dah! kamanda ile nyumba ndogo inakusaka mbaya sana!

bek to ze topik: jamaa denda lake linaweza kutumika kutengezea spray za kuulia nzi.( kama hii kesi ni kweli)

n ya ukweli

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…