Hanipi denda

Yamenishinda, nimeachana nae huyu, siwezi kuwa mtumwa wa mapenzi kihivyo.
 
mambo vp Jf,simuelew mpenz wangu jaman,niliachana nae kitambo na tumerudiana hv karibuni,lkn hanipi denda na sababu anasema kuwa huko nyuma mate yangu yalimsababishia vidonda koon hvo dactari alimwambia asitumie demda!hv kwel mate yanazuliana?
Sipendi hilo neno 'denda',sema kiss ama busu!!GROSS!!
---Believdat---
 
labda kuna kitu anakuepusha!??!!

Ila kweli kuna watu huwa wanatuweupe huku kwenye lips pembeni, si ndio huwa fangasi hizo???

Yamenishinda, nimeachana nae huyu, siwezi kuwa mtumwa wa mapenzi kihivyo.
 
Oooh pole sana, vp kuhusu chumvini anakuruhusu uende?
 
mambo vp Jf,simuelew mpenz wangu jaman,niliachana nae kitambo na tumerudiana hv karibuni,lkn hanipi denda na sababu anasema kuwa huko nyuma mate yangu yalimsababishia vidonda koon hvo dactari alimwambia asitumie demda!hv kwel mate yanazuliana?
lazima unanuka mdomo
 
Angalia kama unatunza VIZURI kinywa chako

Sema nae akupe ukweli ili kuondoa hilo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…