Bernard bakari
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 407
- 781
Wamesaini nimeongea naoYa kweli hayo? Kaanza siku nyingi kusema wamesaini lakini baadaye inagundulika ilikuwa stori zake tu!
Wote au mmojawapo atasaini Yanga.Wamesaini nimeongea nao
Wote wamesaini Kama wewe Yanga endelea kutoa udendaWote au mmojawapo atasaini Yanga.
Hizo za kusaini ni stori za kujipa moyo. Endelea kujipa moyo huenda ikawa
Mtawalipa mini?Wote au mmojawapo atasaini Yanga.
Hizo za kusaini ni stori za kujipa moyo. Endelea kujipa moyo huenda ikawa
Wanazolipwa akina KessyMtawalipa mini?
Osokoni umeamini kama viongozi wako wasanii? Endelea na umbumbumbu wenuWote wamesaini Kama wewe Yanga endelea kutoa udenda
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Kiko wapi sasa? Ajib tayari katua YangaWote wamesaini Kama wewe Yanga endelea kutoa udenda
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
Endeleeni kulamba makinikia ya simbaKiko wapi sasa? Ajib tayari katua Yanga
Hata Mkude anaweza kisaini Yanga kama viongozi wanamhitaji.
Hao akina Buswita mkiwalea vizuri, watakuja Yanga wenyewe!
Sasa ni makinikia tena?Endeleeni kulamba makinikia ya simba
Nimemsikia kupitia E-FM Hans pop anasema Ajib walimpa ofa na Muda wa kuifikiria iyo ofa lakini hajawajibu kitu kwaiyo wameamua kumpotezea.
tulia wewe -5-0!Viongozi wa kuuza sura tu hawa ktk magazeti !! Kelele mingi, fiksi nyingi haya waulize uwanja vipi ? Mtamaliza miaka yennu 4 kombe hakuna na tutawacharaza viboko !!