Nyie ndo wapenzi uchwara, mnaongopewa na kelele na fiksi za hawa magazetini, mnaishi kwa buku na jero za hao majizi lkn mwishowa msimu makombe hakuna !!
Mtabaki na mambo ya 5-0 na 6-0 weee mpaka kufa. Amkeni nyie, uongozi huu hamna kitu. Pesa za Okwi, na hata za Samata zimeliwa na zitaliwa, hapo hujagusia jezi, na mikataba ya hayo majengo..
Huyo manula mtampiga mawe mkipigwa bao, wa nn wakati mlimleta huyo mghana kwa mbwembwe zote ?Yaani miezi mitatu, watu wametengeneza mamilioni sasa mnavunja mkataba na kugawana ?