Hans Pop Hataki Dewj aichukue Simba

Kwani wanavyotaka itangazwe tenda na wajitokeze matajiri wengi kama kina Dangote n.k washindanishwe na mwenye dau kubwa ndio apewe Chama kuna ubaya gani jamani??,kwa nn mnamng'ang'ania huyo 'Mo' tu huenda kuna matajiri wengine wangependelea kuinunua timu,mi naona hans pop yupo sawa tu kwa hoja zake za kutaka tenda itangazwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…