Hans pope nje kwa dhamana ya milioni 15

Hans pope nje kwa dhamana ya milioni 15

Jospina

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2,421
Reaction score
1,395
-Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya klabu ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe ameachiwa kwa dhamana ya Sh. Milioni 15 baada ya kusomewa mashitaka mawili katika Mahakama ya Kisutu mjini Dar es Salaam leo akiunganishwa kwenye kesi inayowakabili rais wa klabu hiyo Evans Aveva na Godfrey Nyange 'Kaburu'. Kaburu na Aveva wataendelea kusota rumande kwa sababu makosa yao hayana dhamana.
FB_IMG_1539688450925.jpg
 
He is very smart alishajua Haya yote Ndomana akamua kurud home
 
Hili jamaa linaonekana 'mafia' sana! Mbabe fulan hivi
 
Alijiamini, ndio maana nilikua naona watu wana wayawaya humu akiwepo na Mods, muanzisha uzi
 
Back
Top Bottom