Hili jamaa jinga kabisa. Linaiuwa klabu yangu
Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya klabu ya simba hans poppe amesema waliwaandalia yanga supu ya mawe na kachumbali ya miiba lakini lakini watani zao hao wamekataa kunywa na kula. poppe" yanga wana kila sababu ya kuikaa kuinywa supu tuliowandalia maana uko nyuma wameinywa sana sasa tunakutana nao raundi ya pili"
Huyu MUHUJUMU Uchumi Na MFUNGWA Wa Zamani Japo Ni Mwana Simba Sports Club Mwenzangu Lakini NIMEMKINAI Tangia Nimwone Wiki Iliyoisha AKITOA MSAADA Wa HELA Kwa Kumchangia FISADI Lowassa. Nimemdharau Mno Kwani Nilijua Kuwa Mtu AKIWA Na PESA Nyingi Basi Hata UPEO Wake Nao Unakuwa MKUBWA Kumbe Ni Kinyume.

mimi si mfuasi wa Simba lakini kitendo cha kumuona Hanspope akichangia harakati za mabadiliko dhidi ya mkoloni mweusi kimenifanya nianze kufikiria kuishabikia Simba.
Soka la bongo ni takataka tupu sasa kiongozi alitakiwa angalau aongelee wapi walikosea na kama walizidiwa ni kwenye eneo gani na wanajipangaje kwa mechi zijazo ila kaja ujinga wa supu duh waliopewa dhamana na soka letu ni watu wa ovyo,acha nikalipie DSTV hata wakipandisha bei hakuna namna wazenzetu mafundi.
Msio wana michezo tunawashauri bakini huko huko kwenye majukwaa ya kisiasa.