Hicho kikosi hata man city anakalishwa🦾💪“Yanga SC wamekuwa bora zaidi ya Simba SC hawawafungi wapinzani kwa bahati mbaya. This time Simba SC wataingia kutaka kuondoa uteja na uwezo huo wanao. Katika mechi 13 zilizopita Simba SC kashinda mechi mbili tu"
.
"Ukitazama katika makaratasi Yanga SC wana timu nzuri kuliko Simba SC, lakini hii ni Derby ambayo huwa ina mambo mengi ndani yake, lakini mechi itaamuliwa katikati ya uwanja"
.
HANS RAPHAEL,Mchambuzi CROWN FMView attachment 3127499
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kinatisha sana mkuuHicho kikosi hata man city anakalishwa🦾[emoji123]
Lkn Abuya nae anaupiga mwingiSafari hii Mudathir ataanza dhidi ya Abuya
Habari za Derby ina mambo mengi sisi Yanga hatuangalii. Team itakayokuwa bora na kutumia nafasi inazopata vizuri ishinde mechi.“Yanga SC wamekuwa bora zaidi ya Simba SC hawawafungi wapinzani kwa bahati mbaya. This time Simba SC wataingia kutaka kuondoa uteja na uwezo huo wanao. Katika mechi 13 zilizopita Simba SC kashinda mechi mbili tu"
.
"Ukitazama katika makaratasi Yanga SC wana timu nzuri kuliko Simba SC, lakini hii ni Derby ambayo huwa ina mambo mengi ndani yake, lakini mechi itaamuliwa katikati ya uwanja"
.
HANS RAPHAEL,Mchambuzi CROWN FMView attachment 3127499
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ni kweli ile siku ndiye aliyesuka goli la playstation dhidi ya Simba kwenye ngao ya jamii
Wataelewa tu tarehe 19Kuna watu badala ya kuja kujibu hoja hapa watakuja kumshambulia mchambuzi na mleta mada.
Mlete tu.....ila mjihadhari[emoji23][emoji23]Usitutishe tukiona vipi hatuleti kikosi chetu.
Kwamba ni kichapo tuHabari za Derby ina mambo mengi sisi Yanga hatuangalii. Team itakayokuwa bora na kutumia nafasi inazopata vizuri ishinde mechi.
Nawaonea huruma sanaaUsiku wa deni hauchelewi
Mbumbumbu kazi mnayo
Goli Kali sana lileNi kweli ile siku ndiye aliyesuka goli la playstation dhidi ya Simba kwenye ngao ya jamii
Anayepigwa apigwe tu hakuna mambo ya derby ina matokeo yake
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama hamjiamini hivi!