Hans van Pluijm Mfano wa kocha wa Kuigwa..

plujimu anashindwa hata na kocha wa stand united

KIUKWELI HUYU KOCHA PRIMJ HATUFAI WANAYANGA..NDO MAANA MANJI ANAKAMILISHA MAZUNGUZMO NA KOCHA KUTOKA ZAMBIA..HANAJIPYA HUYU MZUNGUN LAZIMA TUMUONDOE
 
KIUKWELI HUYU KOCHA PRIMJ HATUFAI WANAYANGA..NDO MAANA MANJI ANAKAMILISHA MAZUNGUZMO NA KOCHA KUTOKA ZAMBIA..HANAJIPYA HUYU MZUNGUN LAZIMA TUMUONDOE

leo hana jipya? mkuu una nongwa!
 
KIUKWELI HUYU KOCHA PRIMJ HATUFAI WANAYANGA..NDO MAANA MANJI ANAKAMILISHA MAZUNGUZMO NA KOCHA KUTOKA ZAMBIA..HANAJIPYA HUYU MZUNGUN LAZIMA TUMUONDOE
Mlimtaka Maximo kawaletea hata msimu hujaisha akapigwa kalamu.

Hata uyo mzambia akija kama sijakosea(George Lwandamina) akikuta mfumo mbovu bado atashindwa tu.

Tutengeneze kwanza mfumo mengine yafuate.

Hebu nipe sababu kwanini unasema Hans Ver Pluijm hana jipya??
 
Na hili ndio ninalolichukia kwenye soka la bongo. Timu inapoanza kufanya vizuri wanamuondoa kocha..
 
One of the best coach kufundisha soka la bongo na akija kusepa huyu lazma apate timu kubwa ya kufundisha
 
na Omog naye tutasemaje?
 
Kikubwa pia ni falsafa ya uongozi. Kumpa muda kocha na kuwapa muda wachezaji. Ingekuwa wang'oa viti, Bossou na Chirwa wasingekuwepo leo.
Moja ya chanzo cha mafanikio Yanga ni kutomuingilia kocha kwenye kazi yake. Usajili na upangaji time.

Eti unasema?
 
Eti unasema?
Narudia kumpa muda kocha! Kakaa muda gani ukilinganisha ni kule kwa wang'oa viti? Kubwa zaidi ni kutoingilia majukumu yake! Hakuna Kaburu au Poppe was kumpangia timu au kuamua nani asajiliwe!
 
Kocha bora kajiudhuru du, mwisho atakuja kujinyonga kama wale watani zangu wa Iringa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…