Hans Van Plujim Ajiuzulu

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Kufuatia taarifa kuwa timu ya yanga imemsajili kocha mpya kutoka zambia kocha mholanzi anayekinoa kikosi hicho cha wana jangwani amejiuzuru baada ya kupata taarifa hiyo
more to follow
my take;mpira bongo tutasubiri sana aiseee
 
sisi kwetu furaha
Hata ningekuwa mimi ningefurahi....na katika hili Simba nadhani watakua wamepata funzo. Walishafanya kosa kama hili kwa Patric Phiri.. Leo Simba anahangaika kuitengeneza timu halafu huku tunamtoa kocha aliyetupa karibia kila kitu msimu uliopita.... Bahati mbaya tu kwenye soka huwezi kuhama timu. Ila katika hili nitakua upande wa Simba mpaka akili ziwakae vizuri huyo mwenyekiti na jopo lake zima.
 
kweli kabisa ulichoongea sijaona kwa nn hawamtaki hans
 
Aliomba kujiuzulu mda mrefu kwa kuwa umri wake umeenda na mara kwa mara ameliongelea hilo kwa uobgozi wa club,ndipo club imemtafuta Mzambia na Plujin atabaki katika bench la ufundi kama mtaalamu na oia si unajua tena Van ni mwanachama wa Young Africa?
 
Kufuatia taarifa kuwa timu ya yanga imemsajili kocha mpya kutoka zambia kocha mholanzi anayekinoa kikosi hicho cha wana jangwani amejiuzuru baada ya kupata taarifa hiyo
more to follow
my take;mpira bongo tutasubiri sana aiseee
Mkuu Mpira wa yanga ndo bado sana.. Sisi simba tunazidi kuchanja mbuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…