Tatizo la Yanga sio kocha bali ni beki, yanga ina beki na viungo waliochoka, ndio maana wanafungika vizuri, hata walipo cheza na Kagera, wasingekua na washambuliaji wazuri kwa kiwango cha Tanzania, wangefungwa ila kagera walishambuliwa sana kiasi cha kuwafanya washambulia wa Kagera kushindwa kufanya mashambulizi.
Kwangu mimi kocha Hans ni kocha mzuri sana wa Kiwango cha Afrika, nini uhakika Yanga watajutia kumpoteza Prugen, tusubiri muda utaongea, Huyu Manji na maamuzi yake ya pesa badala ya akili ya michezo kuna siku mtamchukia. Tuendako Simba inaenda kuwa kilbu inyowalipa vizuri wachezaji wake na kilbu yenye pesa, Yanga haitaweza tena kuihujumu kwa kurubuni wachezaji wake ili kupata ushindi, kama walivyoihujumu kagera juzi, ili kwenye kikao Manji aonekane zaidi ya Yanga.