Moyo ya Vanessa Director ni Kenny? Bas alitisha sana.hata hanscana ni mwanafunzi wa Nisher kwa hiyo sio case
Hanscana upepo ni wa kwake ile kwenye creativity kenny anajitahidi pia. Weka mahaba pembeni halafu angalia video kama moyo ya Vanessa au Bear tamu ya Marioo, ukisema jamaa hawezi itakuwa umeamua tu
Benchmark walikuwa ahead of time, video zao mpaka leo pamoja na kukua kwa technology lakini wengi hawajaweza kufikia ubora ule.Hivi ni nani alikuwa video director wa benchmark productions maana najua mmiliki alikuwa madam Ritha Ila yeye hajulikani
Kwa video kama
Nalia kwa furaha - K lyn ft Bushoke
Machozi - Lady jaydee (Best RnB video Kora awards)
Zali la mentali - Professor jay
Ukiachilia utofauti wa muda na mabadiliko ya teknolojia, video nyingi tu za leo hazizafikia kwa ubora hivyo, naamini jamaa ni one of the best video directors kuwahi tokea bongo
🤝🤝👏👏 hiyo ni kweli 100%Benchmark walikuwa ahead of time, video zao mpaka leo pamoja na kukua kwa technology lakini wengi hawajaweza kufikia ubora ule.
Yeah ni kennyMoyo ya Vanessa Director ni Kenny? Bas alitisha sana.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hata kama ni miaka 10 ila nyota ikikubalika au upepo ukikugeukia utang'ara Tu. Kama unakumbuka hanscana kaingia kwenye game kipindi ambacho wasanii ndio wanaachana na upepo wa kwenda Kenya na South Africa kwa ajili ya video. Ile Tu kuwa fresh face mwenye talent kiasi kipindi ambacho nisher kazingua na adam juma kapumzika tayari ilimpa advantage. Kingine naamini hanscana kinachombakiza ni discpline na ile personality ya kutokaa kimjini sana pengine inawarahisishia wasanii kufanya nae kaziAcha utani bro, huo upepo gani unavuma zaidi ya miaka mitano?
Ziko natural and basic. Najua unamkubali sana hanscana ila kwangu mimi huwa naona kama, ana video chache zenye "Wooww factor". Ukiniambia ni GOAT naona unampa cheo ambacho hastahili maana nikikuuliza kaongeza nini au legacy yake ni nini kwenye game zaidi ya kuwa consistent, sidhani kama utaweza nijibu kirahisiZilikuwa nzuri ila zilikuwa zinaufake mwingi, Hanscana alikuja kutake over baada ya kuonekana video zake ziko so natural
Kama ndo huyo jamaa aliyeongoza wimbo wa unachezaje aisee huyo mwamba ni amsha...jamaa hata movie za kivita anaweza ongoza yuleUzi mzima sijaona neno IVAN
Ule ni moto mwingine hata video zake zingine ukiangalia kama za mambele mbele ivKama ndo huyo jamaa aliyeongoza wimbo wa unachezaje aisee huyo mwamba ni amsha...jamaa hata movie za kivita anaweza ongoza yule
Kumbe na wewe umeligundua hilo, jamaa anajisikia sana, anajionaga Tz hii hakuna Director mkali kuliko yeye.
Kwani ukisema Hanscana ndio kawafanya Wasanii waache kwenda South na Kenya utapungukiwa nini? Mimi kwa kumbukumbu yangu kipindi Hanscana ameibuka na wenzie kina Nisher walikuwa wanalalamika wasanii wakubwa kutokuwaamini na kwenda kushoot nje, nakumbuka kwa mara ya kwanza Diamond akampa kazi ya 'Nasema nao' akafurahi sana, lakini bado Diamond kazi nyingine anazoziaminia aliendelea kushoot nje kwa kina Godfather na Campos, ila uzuri ni kwamba hawa kina Diamond wakati mwingine walikuwa wanaenda nao hawa directors wa bongo pindi wanaposhoot na hao wasouth, na hapo ndipo Hanscana na wenzie wakaendelea kuwa bora zaidi na hatimaye kuaminiwaHata kama ni miaka 10 ila nyota ikikubalika au upepo ukikugeukia utang'ara Tu. Kama unakumbuka hanscana kaingia kwenye game kipindi ambacho wasanii ndio wanaachana na upepo wa kwenda Kenya na South Africa kwa ajili ya video. Ile Tu kuwa fresh face mwenye talent kiasi kipindi ambacho nisher kazingua na adam juma kapumzika tayari ilimpa advantage. Kingine naamini hanscana kinachombakiza ni discpline na ile personality ya kutokaa kimjini sana pengine inawarahisishia wasanii kufanya nae kazi
Ni GOAT kwakuwa amekipokea kijiti cha kina Adam Juma na kupeleka video industry kwenye level nyingine. Na uzuri jibu unalo, consistency is the keyZiko natural and basic. Najua unamkubali sana hanscana ila kwangu mimi huwa naona kama, ana video chache zenye "Wooww factor". Ukiniambia ni GOAT naona unampa cheo ambacho hastahili maana nikikuuliza kaongeza nini au legacy yake ni nini kwenye game zaidi ya kuwa consistent, sidhani kama utaweza nijibu kirahisi
Ila adam juma akitoa kazi bado naona yuko juu zaidi ya hawa vijana hapa bongoNi GOAT kwakuwa amekipokea kijiti cha kina Adam Juma na kupeleka video industry kwenye level nyingine. Na uzuri jibu unalo, consistency is the key
Kwani ukisema Hanscana ndio kawafanya Wasanii waache kwenda South na Kenya utapungukiwa nini? Mimi kwa kumbukumbu yangu kipindi Hanscana ameibuka na wenzie kina Nisher walikuwa wanalalamika wasanii wakubwa kutokuwaamini na kwenda kushoot nje, nakumbuka kwa mara ya kwanza Diamond akampa kazi ya 'Nasema nao' akafurahi sana, lakini bado Diamond kazi nyingine anazoziaminia aliendelea kushoot nje kwa kina Godfather na Campos, ila uzuri ni kwamba hawa kina Diamond wakati mwingine walikuwa wanaenda nao hawa directors wa bongo pindi wanaposhoot na hao wasouth, na hapo ndipo Hanscana na wenzie wakaendelea kuwa bora zaidi na hatimaye kuaminiwa
Ana kazi nzuri nyingi mno, kutaja 2 au 3 nakuwa sijamtendea haki. Kilichowarudisha wasanii bongo sio tu ubora wa directors (Hanscana na wenzie walioibuka miaka hiyo), lakini pia na vifaa, kipindi cha nyuma ilikuwa ngumu kuona mtu/kampuni imeinvest kwenye macamera ya kisasa yanayocost madollar kibao, ila kuliibuka kampuni Kama Wanene, Wasafi, nk hivyo kuwafanya wasanii wasione haja ya kwenda tena nje maana kama ni vifaa bora tayari vipo bongo, na directors wenye uwezo wa kuvitumia wapoTusibishane sana ila mimi nachoamini wasanii walirudi ndani kama trend na zile enzi za "mapapaaa sponsors kumwaga hela stejini zilipoanza kuadimika"..
Kama unaamini kuna kazi ya hanscana hadi sasa (2022) ambayo ni kali kuliko
I feel Good - Navy kenzo
Uniroge - Vanessa modee
(Hizi zote ni chini ya 2017)
Bhasi ukinitajia hata moja nitakubali hanscana kawarudisha wasanii kushoot nyumbani kwa ubora wa kazi zake
Ni GOAT kwakuwa amekipokea kijiti cha kina Adam Juma na kupeleka video industry kwenye level nyingine. Na uzuri jibu unalo, consistency is the key
Adam Juma ni legend, bahati mbaya kazi zake nyingi kazifanya nyakati ambazo hazikuwa na vifaa/teknolojia ya kisasaIla adam juma akitoa kazi bado naona yuko juu zaidi ya hawa vijana hapa bongo
Yaani video na wimbo vinaendana
Ana kazi nzuri nyingi mno, kutaja 2 au 3 nakuwa sijamtendea haki. Kilichowarudisha wasanii bongo sio tu ubora wa directors (Hanscana na wenzie walioibuka miaka hiyo), lakini pia na vifaa, kipindi cha nyuma ilikuwa ngumu kuona mtu/kampuni imeinvest kwenye macamera ya kisasa yanayocost madollar kibao, ila kuliibuka kampuni Kama Wanene, Wasafi, nk hivyo kuwafanya wasanii wasione haja ya kwenda tena nje maana kama ni vifaa bora tayari vipo bongo, na directors wenye uwezo wa kuvitumia wapo
Adam Juma heshima kwake kafanya mengi kwakweli, ila bahati mbaya aliangushwa na vifaa vya wakati huo hivyo kwa namna fulani ilizuia tusijue hasa uwezo wake unaishia wapi. Halafu Adam Juma kuna video alikuwa anaflop, mfano video ya Linex 'Salima' , nakumbuka Linex alilia naye sana kwamba amefanya chini ya kiwango, nadhani ndio maana Diamond hakuwahi kumpa kazi maana kwenye hiyo video ya Linex nayeye alikuwepo, sijawahi sikia Hanscana kaflop kiasi cha wasanii kumkimbia. Hiyo ndio inaitwa 'consistency'Mkuu sio kwamba nazishusha kazi za hanscana ila unamkuza kuliko uhalisia. Anaweza kuzifikia hizo level kama akienda extra miles na kufanya wonders ila hadi sasa sijaona kitu cha kumfanya kuwa GOAT
1. Kabla ya kuja hanscana, tushapeleka videos hadi MTV katika nominations za best videos
"mhh - cpwaa" By Adam Juma
Best RnB video "winner" Kora awards - Machozi lady Jay dee - Benchmark productions
Hadi sasa sijawahi kuona video ya hanscana ikiingia kwenye international nomination yoyote
2. Kabla ya hanscana nyimbo za bongo zilianza kuingia katika rotation za mtv, trace na sound city. Video za Adam Juma na Nisher. Siongelei hizi trace muziki ambazo zinapiga nyimbo zozote Tu, naongelea trace kama trace kitu ambacho Hanscana sijaona impact yake
3. Kipindi cha Adam Juma wasanii A 'list wa Kenya kama pam waliamua kufanyia video kwake. Vipi kuhusu Hanscana
Kama ni consistence, Hanscana kajitahidi sana lakini si kwa kiwango cha Adam Juma ambaye katengeneza video za wasanii wa generations tofauti. Adam Juma kafanya zaidi kwenye hii industry na huwezi kuliweka jina lake kwenye sentesi moja na Hanscana. Put more respect kwake