ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Enock Bella hakuwa msanii wa yamoto band? vip wasiwasi ulikuwepo au haukuwepo ?na hali yake sasa ikojeMbosso alikua ni msanii wa Yamoto tunamjua way back, haikuwa kazi ngumu sana kumuamini kuwa atafanya vizuri.
Aslay kweli aliibeba Yamoto ila Mbosso hatukuwa na wasiwasi naye saana kama ambavyo wengi wanawasiwasi na wazanii wapya kabisa.
Alikua ni msanii wa ya moto.Enock Bella hakuwa msanii wa yamoto band? vip wasiwasi ulikuwepo au haukuwepo ?na hali yake sasa ikoje
Nina wasiwasi we utakuwa Zabibu Kiba. Si kwa chuki hizoYupo anachomeshwa Maindi pale Wcb, bajeti ya kumtoa kumfanyia Promo haipo,. Promo la Zuchu Limewatia hasara bora wangemtoa kimya kimya
Kiujumla achana na hii Wewe unachuki binafsi na WCB hiyo ipo wazi ndo maana unachukia Sana Wasafi wakifanya Jambo zuri alafu unajifanya innocent.Kusema Mbosso alikua ana nafasi ya kuaminika kwenye game kirahisi kwasababu alikua Ya Moto ndiyo chuki???
Kichwa yako iko sawa-sawa kweli??
Makundi yanaficha mengi sana , baada ya kundi kuvunjika ndio mtajua uwezo wa kila mmoja , badae mtapata jibu kuwa wengine mliokuwa mnawaamini ni mizigo , na wale msio waamini wakawa ni Asset nzuri ,mboso na Enock wote uliiwaamini lakini mwisho Enock ni mzigo wakati Mario alieanza kama chipukizi sasa ametengeneza utawala wakeAlikua ni msanii wa ya moto.
Akienda popote CV yake kuwa alikua ya moto lazima itajwe na ni rahisi kuaminika.
Nasikia kijana aligoma kusaini hapo wcb baada ya kuona mkataba unamfunga sanaYupo anachomeshwa Maindi pale Wcb, bajeti ya kumtoa kumfanyia Promo haipo,. Promo la Zuchu Limewatia hasara bora wangemtoa kimya kimya
🤣🤣🤣 hebu punguza jazba za kike mimi nafurahi kuona watu kama wewe mkiwa mnatokwa mapovu kwa vitu vya kishabiki.Kiujumla achana na hii Wewe unachuki binafsi na WCB hiyo ipo wazi ndo maana unachukia Sana Wasafi wakifanya Jambo zuri alafu unajifanya innocent.
Yupo anapikwa acha ujinga na timu yako ya kibakuli ilo kosa bajeti mpaka wasanii wanakimbia hahhaa ukweli inaumaaaa sanaYupo anachomeshwa Maindi pale Wcb, bajeti ya kumtoa kumfanyia Promo haipo,. Promo la Zuchu Limewatia hasara bora wangemtoa kimya kimya
Harmonize na Mavoko Naona bado wapo Wcb hawajakimbia,.Yupo anapikwa acha ujinga na timu yako ya kibakuli ilo kosa bajeti mpaka wasanii wanakimbia hahhaa ukweli inaumaaaa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo Juma Lokole
Pale Kuna Mikataba ya Kitumwa KinyonyajiNasikia kijana aligoma kusaini hapo wcb baada ya kuona mkataba unamfunga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkataba wao umeusoma?Pale Kuna Mikataba ya Kitumwa Kinyonyaji
Harmonize si unaona kaondoka lakini anajiweza haya wasanii wenu mbona hata baiskeli hawajanunuliwa?Harmonize na Mavoko Naona bado wapo Wcb hawajakimbia,.