MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Popote mlipo KEROZENE nipo na hakuna cha Siri nisikijue hivyo nichukue tu Fursa hii Kuwaambia kuwa huu Ushirikina unaenda Kuwaadhibu Kesho na hamtoamini kwani nimedokezwa ili Kafara lifanye Kazi na Ushindi upatikane kuna Mtu mkubwa, maarufu na Tajiri pia alitakiwa aondoke duniani cha Kushangaza jioni hii kwa Uwoga wake kakimbilia Dodoma Kujificha huku Msemaji wa Timu moja Kubwa ( nimeisahau Jina ) Yeye ndiyo kabisa hataki Kusogelea Kambi ya Taifa Stars kwani anajijua vyema alivyo na Thamani kwa Nyota ya Ushindi.
Hongereni kwa kuamua Kumtumia Mganga wa Yanga SC ( ambaye zamani alikuwa wa Simba SC ) akitokea Nungwi Zanzibar kwa Kushirikiana na Yule wa Kigamboni bila Kumsahau na Kiongozi Mmoja Mwandamizi wa Dini yenye Heshima Tanzania Kucheza Kishirikina hii Mechi ili Ushindi upatikane na Usiku huu kuna Vitu vinaenda Kufanyika Baharini ( Indian Ocean ) kwa Escort ya Boti ya Taasisi Muhimu na Nyeti Tanzania mpaka Mkongo Afe Kesho na Upako huo huo wa Kishirikina utapanda Ndege kwenda Kummaliza Madagascar Kwao hatimaye Tanzania ya Bi. Hangaya inatinga Kombe la Dunia kwa mara ya Kwanza.
Naomba kujua Kesho Wazairwa ( Congo DR ) Wakitufunga au wakitulazimisha Sare Tanzania ( Taifa Stars ) hivi Vitu Tajwa na vilivyoingizwa Usiku huu 'kwa Mkapa' mtavitoa Saa ngapi baada ya Mechi ili nami KEROZENE niwasaidieni Kuvitoa kwa Kuvifukua.
Kesho ( Leo ) ndiyo mtawajua Wakongo walivyo Wabobezi na Waandamizi Kiuchawi Afrika nzima na huu ukimya wao tokea wake usiwapeni Kiburi na Jeuri kwani kuna Vitu vya uhakika wameshavifanya na Kuviseti huku wakitutizama tu Watanzania tunavyohangaika Kuroga, Kuhonga Mwamuzi na kutoa Motisha za Kipuuzi na za Kisiasa tupu.