Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Nataka tujenge hoja makini tuache mihemko na majungu, hv kwa nafasi anayocheza Samatta tuna mchezaji wenye uwezo kama samata hata 20% tu ya uwezo wake wa sasa?
Kama yupo mtaje na usilete ngonjera za kujenga timu maana hakuna jtihada yoyote inayofanyika ambayo mtu mwenyewe akili timamu anaweza kusema hapa baada ya miaka 10 tunaweza fika nusu fainali AFCON. Na kama ipo itaje hyo jtihada lakn uslete mambo ya siasa wala uchawa hapa.