Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Wakati wa nani sasa?Wakati wa Samatta umeisha.
Wa hao walioitwaWakati wa nani sasa?
Iv kwanzia samata atumikie tm ya taifa n impact gan kaleta au kuifksha taifa hii kweny ndoto ya soka sasa tukubali tuuu life linaenda hata ukzra mamb lazm ya songe hatukatai juud na michango yake ila mpra inaamn kla sku mabadliko tupshe kzaza kgne yy mwendo kaumaliza tusionge meng awapishe kzaza kngne yy atabaki kama alama ya soka kweny nch yetu iconNataka tujenge hoja makini tuache mihemko na majungu, hv kwa nafasi anayocheza samata tuna mchezaji wenye uwezo kama samata hata 20% tu ya uwezo wake wa sasa? kama yupo mtaje na usilete ngonjera za kujenga timu maana hakuna jtihada yoyote inayofanyika ambayo mtu mwenyewe akili timamu anaweza kusema hapa baada ya miaka 10 tunaweza fika nusu fainali AFCON! na kama ipo itaje hyo jtihada lakn uslete mambo ya siasa wala uchawa hapa.
Hatuna utajiri huo wa wachezaji na ndo hoja yangu hapa, upo sahihi lakn haya mambumbumbu yatastuka badae wakat tushachelewa sanaMsuva,Samatta,Charles mmombwa,Moris Abraham bado walihitajika kwenye kikosi cha Timu ya Taifa,hatujawa matajiri wa wachezaji kama mataifa ya Afrika magharibi tuache siasa,unaweza kuta kocha kasikiliza maneno ya mashabiki kwenye vibanda umiza ndio maana kaacha baadhi ya wachezaji.