Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Hello Kuna mtoto wa Shangazi yangu amepata changamoto ya application za ualimu,
Ametuma maombi Kwa somo la history, vyeti aligonga muhuri Kwa mwanasheria, passport aliweka, na barua ya maombi alisaini.
Ila kwenye kichwa Cha barua haku-specify category yake ya Ualimu daraja la IIIC history. Ali specify kwenye maelezo ya barua .
Naomba kuuliza Kwa wabobezi wa Utumishi ,husipospecify category ya Ualimu kwenye kichwa ya barua unatemwa,yaani huitwi interview .
Nimeulizwa ila majibu Sina,Kwa mzoefu wa interview za Utumishi atusaidie.