Hapa ataitwa interview?

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,155
Reaction score
1,209
Hello Kuna mtoto wa Shangazi yangu amepata changamoto ya application za ualimu,

Ametuma maombi Kwa somo la history, vyeti aligonga muhuri Kwa mwanasheria, passport aliweka, na barua ya maombi alisaini.

Ila kwenye kichwa Cha barua haku-specify category yake ya Ualimu daraja la IIIC history. Ali specify kwenye maelezo ya barua .

Naomba kuuliza Kwa wabobezi wa Utumishi ,husipospecify category ya Ualimu kwenye kichwa ya barua unatemwa,yaani huitwi interview .

Nimeulizwa ila majibu Sina,Kwa mzoefu wa interview za Utumishi atusaidie.
 
Ataitwa hiyo barua imewekwa kwenye maombi ya iiic history. Kwahiyo usiwe na hofu kuhusu Hilo. Ajipange kwa usahili tu
Hizi ajira watu wanatishia walimu hatari, mara ukikosea nucta, mara ukikosea herufi mara Nini, sijui system Gani ya kusoma barua 150k
 
Hizi ajira watu wanatishia walimu hatari, mara ukikosea nucta, mara ukikosea herufi mara Nini, sijui system Gani ya kusoma barua 150k
Kwakua wanajua ni mara Yao ya kwanza kutumia mfumo wa ajira portal.
 
Mtoto wa shangazi ebu edit hiyo barua kabla ya deadline yaani andika nyingine then bonyeza kitufe cha edit uatttach hiyo uliandika upya
 
Hatutemegemei kwa muuombeji kuwa mueledi kwenye miundo ya kiutumishi japo cjui hyo mifumo ya uombaji,

Ila kila la heri
 
Nomaa Sanaa,Ajira hizi ni sawa na kuitaka pisi Kali sanaa afu huna hata buku🤣🤣🤣mamaee utasandaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…