Angalia video hii alafu fananisha na ile Make me sing ya dai na AKA
Mimi akili na macho vinaniambia bado ni vitu viwili tofauti. Ila bado kuna watu wanasema braza kateleza naomben ufafaanuzi.
Wameshaiblock hiyo video yako dogo, usishobokee kuupload video za wanyamwezi watakusue, na sijui Kama utaweza kuwalipa zaid ya kuishia kupimwa tezidume