Hapa Dar ni sehemu gani wanauza nyama pori?

MD25

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
3,074
Reaction score
1,023
Wana bodi.
Naomba kujuzwa ni sehemu gani hapa Dar nitaweza kununua nyama ya porini? Asante...
 
Break Point ya pale Millenium na Carnival Old Bagamoyo Rd!.

Thanks mkuu pasco.
Nahitaji kwa ajili ya kununua na kutumia nyumbani. Je, hapo break point si wanauza kama mboga?
 
Hizo nyama pori siyo nyara? Duh! Mi simo!!!!!

Hawa jela inawaita jamaa yangu! Wee waache tu wajilengeshe hadharani na biashara yao haramu, wanadhani Maige atabaki kuwa waziri wa maliasiri milele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…