kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Bei gani hukoTanga zipo
Sawa bei zake zipo vipi mkuuMlandizi Kibaha Pwani zipo
Nitaulizia bei kiongozi usijali, ila hata kibaha maili zipoSawa bei zake zipo vipi mkuu
Msingi wa swali langu unatokana na UKWELI kwamba siku hizi zipo pikipiki zinatumia umeme na nyingine mafuta.
Nitashukuru mkuuNitaulizia bei kiongozi usijali, ila hata kibaha maili zipo
Ni utani mkuu[emoji1]Msingi wa swali langu unatokana na UKWELI kwamba siku hizi zipo pikipiki zinatumia umeme na nyingine mafuta.
Je msingi was jibu lako ni upi?