Hapa duniani hakuna laana au baraka mambo yote yapo kama yalivyo.

Joined
Jan 24, 2025
Posts
62
Reaction score
99
Hapa Duniani hakuna baraka wala laana mambo yote hayana maana ni wewe ndo unayapa maana.

Jambo unaloliita laana kwa mwingine ni baraka na jambo unaloona kama baraka kwa mwingine ni laana

So , mambo yapo kama hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…