Hapa hakuna mke!

Hapa hakuna mke!

Kachelenga

Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
26
Reaction score
6
Muda mrefu sasa natafuta MKE hapa lakini bila mafanikio,naomba mnisaidie ndg zangu kama kuna mahali pengine naweza kupata mke naomba mnielekeze huko labda nitabaatika kupata mke huko.
 
Nenda kijijini kwenu, wanawake wa mujini watakusumbua tu, hakuna wakuolewa huku mujini unless kama unataka kuchunwa!
 
Weka Cv yako hapa ujipatie mke sasa hivi, kazi yako, elimu n.k!!!!!!!!
 
Ni kweli kabisa umeshindwa ku socialize na mabinti mpaka utumie njia hii? Domo kokoto au zege?
Pole ndugu yangu
 
Muda mrefu sasa natafuta MKE hapa lakini bila mafanikio,naomba mnisaidie ndg zangu kama kuna mahali pengine naweza kupata mke naomba mnielekeze huko labda nitabaatika kupata mke huko.

Huyo mke hapa unamtafutaje??
 
Uliweka tangazo ukakosa? Kam vipi rudia kuweka tangazo. Kila la heri..
 
Muda mrefu sasa natafuta MKE hapa lakini bila mafanikio,naomba mnisaidie ndg zangu kama kuna mahali pengine naweza kupata mke naomba mnielekeze huko labda nitabaatika kupata mke huko.
Nenda kwenye kanisa la mzee wa upako. ubungo kibangu.
 
Asee! kumbe nkifanya kaubunifu ka kuanzisha kakazi ka kutafutia wake madomo zege naweza kumake mkwanja hapa nchini eh! naona kama kwenye haka kaupande kuna mahitaji makubwa sana wandugu.
 
ah ah ah! Kachelenga mie, mbona nimepata humu .. Kaza moyo, tupia Cv yako na picha yako
 
Last edited by a moderator:
Nenda kijijini kwenu, wanawake wa mujini watakusumbua tu, hakuna wakuolewa huku mujini unless kama unataka kuchunwa!
Na wa kijijini nao ndo akina Zubeda wa Prof. Jay, baada ya muda anagonga mvinyo na walatino
 
Muda mrefu sasa natafuta MKE hapa lakini bila mafanikio,naomba mnisaidie ndg zangu kama kuna mahali pengine naweza kupata mke naomba mnielekeze huko labda nitabaatika kupata mke huko.

pole kaka. I would rather advise you to spend time in socialising rather than getting a 'quick fix'
 
Yaani bila CV kali unafikri utampata mke hapa? Labda uende kijijini kwenu halafu ukamdanganye binti kuwa wewe ni wa mujini na una kazi nzuri!!!! Wakiona ni wa kutoka mjini hasa ukitaja Darisalama basi hata swali hakuna!! Ha ha ha!! Akifika huku anakuta unalala chumba kimoja uswazi halafu inabidi awahi asubuhi kuteka maji ya kisima cha maji ya chumvi!! Hela ya mboga jengeni haitoshi hivyo inabidi ampate muuza genge!!!!! Aise kuoa si suala dogo! Tutafakari given maisha bora kwa kila mtanzania tumeshindwa!!
 
Back
Top Bottom