Hapa hamna kisingizio tena

Hapa hamna kisingizio tena

Hell is real

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2021
Posts
204
Reaction score
364
Yohana 3:23 Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu wakamwendea, wakabatizwa.

kama watu walisafiri kutafuta ubatizo wa maji mengi, ni hakika kuwa ubatizo wa Mengi ndo ulio ubatizo sahihi kibiblia
 
1 Wakorintho 1:18 Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
Hata uogeshwe mwili mzima kama wewe ni mwovu utabaki kuwa mwovu tu. Askofu mwakilishi wa Kawe Bungeni aliogeshwa maji mengi na sasa yeye anaogeshe wengi lakini ona matendo yake. Matendo ya kitapeli kwelikweli.
 
Yohana 3:23 Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu wakamwendea, wakabatizwa.

kama watu walisafiri kutafuta ubatizo wa maji mengi, ni hakika kuwa ubatizo wa Mengi ndo ulio ubatizo sahihi kibiblia
Ubatizo wa maji mengi unawezaje kunioeleka mbinguni kama sijabatizwa kwa Roho Mtakatifu?
 
Hata uogeshwe mwili mzima kama wewe ni mwovu utabaki kuwa mwovu tu. Askofu mwakilishi wa Kawe Bungeni aliogeshwa maji mengi na sasa yeye anaogeshe wengi lakini ona matendo yake. Matendo ya kitapeli kwelikweli.
Mungu ni wa Kanuni na kuna kanuni ambazo Mungu alitupa tuzifuate na hizo kanuni ndio upelekea mtu kuushinda matendo ya mwili au matakwa ya mwili lakini nje ya hizo kanuni kushinda matakwa ya mwili ni ngumu ndio maana maisha ya wokovu yanaonekana ni magumu sana kwa watumishi wengi lakini ni mepes sana ukifuata maongozo ya Roho mtakatifu
 
amri kumi za Mungu,hakuna ubatizo wa maji mengi.

ni kanuni zipi nyingine Mungu alitupa??
 
amri kumi za Mungu,hakuna ubatizo wa maji mengi.

ni kanuni zipi nyingine Mungu alitau upa??
Au naweza kusema kanuni ni yale maagizo aliyotupa kwa Neno lake mfano naweza kusema kanuni ya kuweza kupata mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii
 
amri kumi za Mungu,hakuna ubatizo wa maji mengi.

ni kanuni zipi nyingine Mungu alitupa??
Daah! Umewaza mbali mdugu yangu. Kristu aliongeza amri ingine juu ya ile amri kumi nayo ni upendo, hakusema ubatizo wa maji mengi au machache. You are quite right. Salute.
 
Daah! Umewaza mbali mdugu yangu. Kristu aliongeza amri ingine juu ya ile amri kumi nayo ni upendo, hakusema ubatizo wa maji mengi au machache. You are quite right. Salute.
Yah na ukisoma vizuri inaonekana ubatizo wa maji mengi halikuwepo kwenye amri za Mungu bali ubatizo ulikuwa ni desturi ambayo wayahudi waliiweka huku wakiamini kitendo cha ubatizo wa maji mengi kule kuzamishwa na kuibuliwa ni kuufisha ule utu wa kale na kuibuliwa ni kuingizwa kwenye utu wa upya ( utu wa kale ni matendo ya mwili na utu mpya ni yale maisha yakumuishia kristo Roho mtakatifu
 
Kumuishia kristo ni pamoja na kukubaliana nae kwa Kila alilolifanya, hivyo katika ubatizo alibatizwa kwa kuzamishwa na baada ya kuibuka jutoka kwenye maji sauti ilisikika kutoka mbinguni ikisema "huyu ni mwanangu mpendwa msikilizeni yeye" je tufuate mfano wa ubatizo upi was yesu au summary ya ubatizo ya watu wavivu wa kufikiri. Na hao wanawapoteza wengi, kwao mtu ni sawa tu aendelee na ulevi na ibada, ibada za sakrament zinqambatana na vilevi Kama bia.
Biblia ibasema msifuatishe namna ya dunia na matendo yake, ndio Mana watu kwa sababu ya kuingiza mambo ya dunia nyumbani mwa mungu hawaoni hatia kunyunyiza maji paji la uso na kuita ubatizo.
Mana ya neno batiza hata kwenye kamusi ya kiswahili sanifu ni kuzamisha.
 
Daah! Umewaza mbali mdugu yangu. Kristu aliongeza amri ingine juu ya ile amri kumi nayo ni upendo, hakusema ubatizo wa maji mengi au machache. You are quite right. Salute.

ni kweli,japo alisema ameongeza naweza sema aliboresha au kuitimiliza torati kama mwenyewe alivyosema.

upendo ndio mbadala wa amri zote kumi,ukimpenda jirani yako au mbaya wako utampenda Mungu pia ambaye hutakubari agadhibike kwa ajiri yako.
 
Back
Top Bottom