Hell is real
JF-Expert Member
- Aug 14, 2021
- 204
- 364
Hata uogeshwe mwili mzima kama wewe ni mwovu utabaki kuwa mwovu tu. Askofu mwakilishi wa Kawe Bungeni aliogeshwa maji mengi na sasa yeye anaogeshe wengi lakini ona matendo yake. Matendo ya kitapeli kwelikweli.1 Wakorintho 1:18 Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
Ubatizo wa maji mengi unawezaje kunioeleka mbinguni kama sijabatizwa kwa Roho Mtakatifu?Yohana 3:23 Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu wakamwendea, wakabatizwa.
kama watu walisafiri kutafuta ubatizo wa maji mengi, ni hakika kuwa ubatizo wa Mengi ndo ulio ubatizo sahihi kibiblia
Mungu ni wa Kanuni na kuna kanuni ambazo Mungu alitupa tuzifuate na hizo kanuni ndio upelekea mtu kuushinda matendo ya mwili au matakwa ya mwili lakini nje ya hizo kanuni kushinda matakwa ya mwili ni ngumu ndio maana maisha ya wokovu yanaonekana ni magumu sana kwa watumishi wengi lakini ni mepes sana ukifuata maongozo ya Roho mtakatifuHata uogeshwe mwili mzima kama wewe ni mwovu utabaki kuwa mwovu tu. Askofu mwakilishi wa Kawe Bungeni aliogeshwa maji mengi na sasa yeye anaogeshe wengi lakini ona matendo yake. Matendo ya kitapeli kwelikweli.
Mungu ni wa Kanuni na kuna kanuni ambazo Mungu alitupa tuzifuate na hizo kanuni ndio upelekea mtu kuushinda matendo ya mwili au matakwa ya mwili lakini nje ya hizo kanuni kushinda matakwa ya mwili ni ngumu ndio maana maisha ya wokovu yanaonekana ni magumu sana kwa watumishi wengi lakini ni mepes sana ukifuata maongozo ya Roho mtakatifu
Kanuni ndio hizo Amri mkuuamri kumi za Mungu,hakuna ubatizo wa maji mengi.
ni kanuni zipi nyingine Mungu alitupa??
Au naweza kusema kanuni ni yale maagizo aliyotupa kwa Neno lake mfano naweza kusema kanuni ya kuweza kupata mafanikio ni kufanya kazi kwa bidiiamri kumi za Mungu,hakuna ubatizo wa maji mengi.
ni kanuni zipi nyingine Mungu alitau upa??
Daah! Umewaza mbali mdugu yangu. Kristu aliongeza amri ingine juu ya ile amri kumi nayo ni upendo, hakusema ubatizo wa maji mengi au machache. You are quite right. Salute.amri kumi za Mungu,hakuna ubatizo wa maji mengi.
ni kanuni zipi nyingine Mungu alitupa??
Yah na ukisoma vizuri inaonekana ubatizo wa maji mengi halikuwepo kwenye amri za Mungu bali ubatizo ulikuwa ni desturi ambayo wayahudi waliiweka huku wakiamini kitendo cha ubatizo wa maji mengi kule kuzamishwa na kuibuliwa ni kuufisha ule utu wa kale na kuibuliwa ni kuingizwa kwenye utu wa upya ( utu wa kale ni matendo ya mwili na utu mpya ni yale maisha yakumuishia kristo Roho mtakatifuDaah! Umewaza mbali mdugu yangu. Kristu aliongeza amri ingine juu ya ile amri kumi nayo ni upendo, hakusema ubatizo wa maji mengi au machache. You are quite right. Salute.
Daah! Umewaza mbali mdugu yangu. Kristu aliongeza amri ingine juu ya ile amri kumi nayo ni upendo, hakusema ubatizo wa maji mengi au machache. You are quite right. Salute.