Hapa ilikuwa bonge la kikosi

Hapa ilikuwa bonge la kikosi

papag

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,156
Reaction score
1,667
Timu ya Taifa ya Kandanda ya Zambia iliyojulikana wakati huo kama KK 11, wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi yao na Italia ndani ya Uwanja wa Gwangju Mudeung huko Gwangju, Korea Kusini wakati wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya XXIV, Septemba 19, 1988.

Waliichapa Italia mabao 4-0 katika matokeo ambayo yalishangaza dunia.

Timu

( 1.) David Efford Chabala.

( 2.) Peter Mwanza

( 3.) Edmon Mumba

( 4.) Samuel Chomba

( 5.) James Chitalu

( 6.) Derby Makinka (mabao 2)

( 7.) Johnson Bwalya (bao 1)

( 8.) Charles Musonda

( 9.) Beston Chambeshi

(10.) Webster Chikabala

(11.) Bahati Msiska

(12.) Kalusha Bwalya (mabao 5)

(13.) Simon Mwansa

(14.) Manfred Chabinga

(15.) Ashols Melu

(16.) Richard Mwanza

(17.) Pearson Mwanza

(18.) Wisdom Mumba Chansa

(19.) Stone Nyirenda (bao 1)

(20.) Eston Mulenga

Kocha Mkuu: Samuel Ndhlovu

Picha : Bob Thomas Sports Photography /Getty Images
FB_IMG_1680244451999.jpg
 
Moses Chikwalakwala hakuwepo enzi hiyo nadhan
 
Huyo Charles Musonda ana undugu na Kennedy Musonda au ni majina tu
 
Hawa Wazambiano wanavipaji sana vya kusukuma gozi mpaka sasa mapro kibao Ulaya.Sisi sijui tunafeli wapi.
 
Back
Top Bottom