Uchaguzi 2020 Hapa Iringa kama CCM mmekosa mgombea ubunge, basi tutamuomba Kasesela agombee akatuwakilishe bungeni

Uchaguzi 2020 Hapa Iringa kama CCM mmekosa mgombea ubunge, basi tutamuomba Kasesela agombee akatuwakilishe bungeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Iringa siyo mkoa wa mchezo mchezo.

Najua kwamba Balozi Augustine Mahiga (RIP) ndio angechukua ubunge wa hapa lakini Mungu amempenda zaidi.

Sasa kuna azunguka zunguka kudai kimetumwa na mwenezi kugombea, niseme tu Iringa hatutarudia makosa kama CCM mmechemka kabisa; hata Salim hana nia ya ubunge basi kwa niaba ya Wanyalu, Richard Kasesela tutampeleka bungeni kwani ameufanyia mambo makubwa mkoa wetu na "kushughulika" na usanii wa mchungaji Msigwa kila kona.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom