Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 17,119 Reaction score 32,195 Dec 10, 2025 #21 Allen Kilewella said: Pia kushindwa kwa CCM ya Sasa kuendana na hoja za zama hizi. Polepole mchango wake ni mkubwa sana kwenye harakati hizi za Gen Z. Titicomb Click to expand... Ule ujasiri wa kuacha ulaji ubalozi na kuja kupambania mabadiliko uliwafanya GenZ wapate matumaini mapya ya nchi yao mpya ambayo ni corruption free na kupinga nepotism. Kifupi waliweka imani kwake hawezi kuwauza, hapiganii tumbo lake.
Allen Kilewella said: Pia kushindwa kwa CCM ya Sasa kuendana na hoja za zama hizi. Polepole mchango wake ni mkubwa sana kwenye harakati hizi za Gen Z. Titicomb Click to expand... Ule ujasiri wa kuacha ulaji ubalozi na kuja kupambania mabadiliko uliwafanya GenZ wapate matumaini mapya ya nchi yao mpya ambayo ni corruption free na kupinga nepotism. Kifupi waliweka imani kwake hawezi kuwauza, hapiganii tumbo lake.