hapa kama sijawaelewa FA na AY vilee!

hapa kama sijawaelewa FA na AY vilee!

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Huu wimbo wa cheza cheza bila kukunja goti inaweza kua ndio wimbo mbovu wa mwaka kuanzia audio mpaka video haueleweki hata kidogo,hovyoooo....
 
mbona huo wimbo unapendwa sana na una bamba sana na watu wanabambika. labda utoe sababu kwa nini unaona mbovu
 
hata mi huwa siuelewi huu wimbo,na kiukweli kaka AY huwa simuelewi nae,maana kiukwel anajitahidi sana lakin sijui ana gundu gani broo,maana kama vile media ama mashabiki wanawahi kumtema sana hata kama akitoa kitu hit,havumi sana.lakin cha achabu tuzo za nje anachukua sana na anaheshima sana nje,lakini kwa hapo tz,naona kama mnamchukulia kawaida.
najua mtasema nabiii sijui nn kwao .... lakini mhhh mbona dogo domo anapenda mpaka na vibibi/vibabu
 
nabii akubaliki kwao
 
Cheza bila kukunja goti wimbo mbaya? Kwangu mimi ndo mojawapo ya ngoma kali kwa mwaka huu. Ila video sijaielewa kivile na imeptishwa mtv,tracetv na chanel o. Sio kila vdeo inaweza chezwa huko.
 
Ay hana soko la ndani.nje ndo anakubalika na awards anabeba sana tu.
 
Hiyo nyimbo ilikuwa inamfaa AY,FA sio nyimbo zake kabisa na video ni mbovu mno eti wamerekodia SA
 
FA alichemsha sana. Nyimbo za club AY anaziwezea. AY anampaisha dogo naye ajulikane.
 
Hiyo nyimbo ilikuwa inamfaa AY,FA sio nyimbo zake kabisa na video ni mbovu mno eti wamerekodia SA

Audio bab kubwa ila video haina tofauti na video ya ottu jazz band ya 'tuma'...ambayo kingwendu yupo
 
Ay hana soko la ndani.nje ndo anakubalika na awards anabeba sana tu.
mimi namjua kwa sura tu sijui hata wimbo wake mmoja! naona kama jamaa analazimisha flani ila alishapotea kitambo ajipange! limebaki jina tu! ila nampenda bonge la hb!
 
Audio bab kubwa ila video haina tofauti na video ya ottu jazz band ya 'tuma'...ambayo kingwendu yupo
ahaaaa loh! ila ay anajitahidi sana ila ndo hivo bado hakubaliki kiviile! yaani kwa sasa jina tu ndo linambeba! kwa ay alivo alitakiwa awe kama diamond ! au zaidi ila ndo hivo... itabidi aungane na anaconda sasa
 
mimi namjua kwa sura tu sijui hata wimbo wake mmoja! Naona kama jamaa analazimisha flani
ila ndo anatutoa kimasomaso huko kwa awards za nje. Mwaka jana alibeba na mwaka huu amechaguliwa tena. Lets vote for ay!
 
ila ndo anatutoa kimasomaso huko kwa awards za nje. Mwaka jana alibeba na mwaka huu amechaguliwa tena. Lets vote for ay!
tunavote wapi? mi najua ni msanii mkubwa tu ila sijui nyimbo zake kiviile !
hivi crazy gk yule nae aliishia wapi?
 
tunavote wapi? Mi najua ni msanii mkubwa tu ila sijui nyimbo zake kiviile !
Hivi crazy gk yule nae aliishia wapi?

ingia chanel o website.gk almalza tumain mwaka juzi. Ametoa wimbo m1 mwaka huu hata kimara haujafika!
 
video sijaielewa ila mbna inapgwa kule mtv,trace na chanel o!

connection bab!....A.Y ana connection kubwa sana,hapa bongo kuna vichupa kibao vinastahili kupigwa ma MTV ila kuna kubaniana flani na hii tabia ya ubanaji A.Y kaambukizwa na mwanae F.A
 
Back
Top Bottom