hapa kama sijawaelewa FA na AY vilee!

AY soko la ndani hana labda nje...videooooo mbayaaa yani wameliwa ela yao kama ya ile ya omy dimpozi me n u sijui wasanii wanawazaga nn?? au kuiga iga tuhh ...izo ela nipe mimi mchaga mie ntawaonyesha zimatumikaje
owk byeee
 
Jamani si kuna mchungaji kasema kuwa kuna watu watakufa club na kiongozi wa mkuu?au mmesahau shaurienu! mie na msikiliza mkaangasumu na mnanda hapa kimboka taratibu usalama mia
 
connection bab!....a.y ana connection kubwa sana,hapa bongo kuna vichupa kibao vinastahili kupigwa ma mtv
kumlaumu ay unakosea,nani anapaswa kutafta conection kama sio msanii mwenyewe? Ay kahustle sana kufanya hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…