Tetesi: Hapa kenya Kikuyu na wachagga ni sawa

Tetesi: Hapa kenya Kikuyu na wachagga ni sawa

farah hassan

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2016
Posts
492
Reaction score
370
Watanzania mjichunge saaan na wachaga
Hapa Kenya tuna shida na Kikuyu. Wana ukabila na kujipendelea..Uongozini hawatoki
 
Kichwa chako hakina akili.

Wakikuyu wawatoki maana ni wengi hapo kenya ili ushinde urais lazma kura za Wakikuyu.

Wachaga huku ni kabila la nne kwa ukubwa hivyo sio waamuzi wa mwisho
 
Hapa tuna Wasukuma hao ni hatari kwa ukabila, kuliko hata wahindi

Tehetehe wasukuma siyo hatari na wala hawana ukabila ila wengi tu hivyo wakiteuliwa watu 200 kwenye nafasi mbalimbali ni kama tone tu la maji kwenye ndoo ilojaa maji
 
Back
Top Bottom