View attachment 19736
Mimi ni Mtanzania ninaishi Lughombo Mwakaleli Mbeya, nimekuwa na bahati mbaya sana ya kukimbiwa na mke kila ninapokuwa nimeanza naye rasmi masuala ya unyumba, tena mbaya zaidi hata bila hata kuambiwa kosa langu. Mimi nimeshika dini hivyo sipendi kufanya mapenzi na mtu mpaka nitakapo kamilisha taratibu za kuoa, Naomba ushauri nakosea wapi? Kwasasa natafuta mke ambaye ataweka bayana mapungufu yangu ninapomkosea ili nipate nafasi ya kujirekebisha.
Watatu
Ni wa kawaida kabisa ndugu yangu
Nini kifanyike?
Hapatoshi hapa. Tafuta mtaalamu wa mambo ya kujamiiana akupe mbinu ambazo ukizitumia hata yule wa zamani akisikia atataka kurudi. Kuna mambo ukimfanyia mwenyewe anafika kileleni na hawezi kukukimbia. Kuna vitabu pia, niliwahi kununua kimoja safi sana kinaitwa "How to give her an absolute pleasure"