Elections 2010 Hapa kuna haki?

Elections 2010 Hapa kuna haki?

kaka h

Member
Joined
Sep 6, 2010
Posts
38
Reaction score
7
je ni kwa nini raisi anaposhiriki uchaguzi haachi madaraka ya uraisi hamuoni hili linanyima haki sawa kwa wagombea.......
 
No haki in this country bwana.
Ukitaka haki mfuate sweet heart wako.
 
THUBUTU....Aachie madaraka abwagwe ki-katrina..!
Hii ndo aina ya viongozi wasiofanya kitu afu wanang'ang'ania madaraka..!
 
Siyo rais tu hadi mawaziri pia. Ni moja kati ya mapungufu ya katiba yetu
 
Kweli kabisa apa kwenye katiba kunabidi marekebisho.uchaguzi ukimalizika tudai katiba mpya.
 
Tanzania haki itakuja kutendeka tu na pekee tu, kama watanzania watakapo kimwaga ccm,otherwise tusahau
 
Back
Top Bottom