K kaka h Member Joined Sep 6, 2010 Posts 38 Reaction score 7 Sep 6, 2010 #1 je ni kwa nini raisi anaposhiriki uchaguzi haachi madaraka ya uraisi hamuoni hili linanyima haki sawa kwa wagombea.......
je ni kwa nini raisi anaposhiriki uchaguzi haachi madaraka ya uraisi hamuoni hili linanyima haki sawa kwa wagombea.......
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,219 Reaction score 4,608 Sep 6, 2010 #2 No haki in this country bwana. Ukitaka haki mfuate sweet heart wako.
Iza JF-Expert Member Joined Jan 8, 2009 Posts 2,045 Reaction score 643 Sep 6, 2010 #3 THUBUTU....Aachie madaraka abwagwe ki-katrina..! Hii ndo aina ya viongozi wasiofanya kitu afu wanang'ang'ania madaraka..!
THUBUTU....Aachie madaraka abwagwe ki-katrina..! Hii ndo aina ya viongozi wasiofanya kitu afu wanang'ang'ania madaraka..!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Sep 6, 2010 #4 Kiranja Mkuu said: No haki in this country bwana. Ukitaka haki mfuate sweet heart wako. Click to expand... ....hata huyo sweetheart wako anaweza asikutendee haki pia.
Kiranja Mkuu said: No haki in this country bwana. Ukitaka haki mfuate sweet heart wako. Click to expand... ....hata huyo sweetheart wako anaweza asikutendee haki pia.
M MJM JF-Expert Member Joined Mar 30, 2010 Posts 461 Reaction score 51 Sep 6, 2010 #5 Siyo rais tu hadi mawaziri pia. Ni moja kati ya mapungufu ya katiba yetu
M mjukuu2009 Member Joined Jul 6, 2009 Posts 89 Reaction score 4 Sep 6, 2010 #6 Kweli kabisa apa kwenye katiba kunabidi marekebisho.uchaguzi ukimalizika tudai katiba mpya.
K kaka h Member Joined Sep 6, 2010 Posts 38 Reaction score 7 Sep 6, 2010 Thread starter #7 Kiranja Mkuu said: No haki in this country bwana. Ukitaka haki mfuate sweet heart wako. Click to expand... wewe wenzako kila siku wanalia kwenye uhusiano........so wewe umerizika
Kiranja Mkuu said: No haki in this country bwana. Ukitaka haki mfuate sweet heart wako. Click to expand... wewe wenzako kila siku wanalia kwenye uhusiano........so wewe umerizika
S Shimwela Member Joined Aug 20, 2010 Posts 8 Reaction score 0 Sep 6, 2010 #8 Tanzania haki itakuja kutendeka tu na pekee tu, kama watanzania watakapo kimwaga ccm,otherwise tusahau
Tanzania haki itakuja kutendeka tu na pekee tu, kama watanzania watakapo kimwaga ccm,otherwise tusahau