tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Ni kweli, kwani vitu anavyoviota hapa, mpaka namuonea huruma.Ana tamaa ya kufanikiwa haraka huyo. Hana mapenzi ya dhati. Hata ukimuoa atakuchakua tu!
Suala la mwalimu kula pesa ndefu halimuingii akilini, nimemshauri kuhusu miradi tofauti tofauti, lakini kikubwa anaonekana anapenda KitongaSiku hizi kila kitu maslahi mbele....<br />
<br />
Mwambie hata walimu wapo wanaokula pesa ndefu tu...ila sio wa kata!!Japo nae anaweza akawa na katwisheni kake kuongezea mshiko!
aaah mi namcheki tu hapa, kwani mpaka muda huu hana hata mwelekeo.Hamna lolote hapo zaidi ya tamaa!hanazo kichwan kwanza!hv hajui kuwa wanaume ni adimu!bado anachagua wakati wenzake wamezeekea makwao!nina hasira!mwambie akajiuze basi
Habari za jioni wadau? Nipo nabadilishana mawazo na rafiki yangu ambaye anataraji kuajiriwa na kuwa mwalimu, lakini anachonishangaza eti hataki mwanaume ambaye ni mwalimu kama yeye. Jamani hivi mliobahatika kukutana na walimu wana mawazo kama haya au ni huyu tu na tamaa zake? Maana naona kama ananitega, kwani msisitizo wake eti sisi/mimi tuna uhafadhali kwani kuna semina, safari na vikao. Anadai akiolewa na mwalimu hawataweza kusongesha maisha. Ninachojiuliza, hivi hata akipata mwanaume asiye mwalimu kutakuwa na mapenzi ya kweli?
mh ni kweli, she is more strategic, lakini mwisho wa siku mambo yakienda kombo, tutegemee liquidation as a strategy.Aah. Huyo yuko more strategic. Wakati mwingine lazima kuwe na malengo kabla ya kufanya maamuzi yanayotu cost for the rest of our lives. Haina maana kuwa hana uwezo wa kupenda bali apendi hovyo hovyo, ana mpango mkakati. Which is not bad. Mapenzi ndiyo hayana macho wala masikio; but kabla hujaamua kumpenda mtu unaona vizuri na kusikia.
<br />Suala la mwalimu kula pesa ndefu halimuingii akilini, nimemshauri kuhusu miradi tofauti tofauti, lakini kikubwa anaonekana anapenda Kitonga
kazi kweli kweli, nasikia hata ndoa ikiwa na walimu watupu, mwanaume lazima atadharaulika.Walimu ni moja ya wafanyakazi ambao wanalipwa mishahara midogo. Pia kumezuka tabia siku hizi, mtu asipofaulu vizuri anaashauriwa akosomee ualimu kitu ambacho kimeifanya fani hii muhimu kudharaulika na wengi. Hili nalo limeingia mpaka kwenye mahusiano. Kwa mwanamke ambae amekaa kiuchumi zaidi, mwalimu mwanaume ni mtu wa mshahara mdogo na hafai.
Walimu ni moja ya wafanyakazi ambao wanalipwa mishahara midogo. Pia kumezuka tabia siku hizi, mtu asipofaulu vizuri anaashauriwa akosomee ualimu kitu ambacho kimeifanya fani hii muhimu kudharaulika na wengi. Hili nalo limeingia mpaka kwenye mahusiano. Kwa mwanamke ambae amekaa kiuchumi zaidi, mwalimu mwanaume ni mtu wa mshahara mdogo na hafai.
Habari za jioni wadau? Nipo nabadilishana mawazo na rafiki yangu ambaye anataraji kuajiriwa na kuwa mwalimu, lakini anachonishangaza eti hataki mwanaume ambaye ni mwalimu kama yeye. Jamani hivi mliobahatika kukutana na walimu wana mawazo kama haya au ni huyu tu na tamaa zake? Maana naona kama ananitega, kwani msisitizo wake eti sisi/mimi tuna uhafadhali kwani kuna semina, safari na vikao. Anadai akiolewa na mwalimu hawataweza kusongesha maisha. Ninachojiuliza, hivi hata akipata mwanaume asiye mwalimu kutakuwa na mapenzi ya kweli?
<br />Habari za jioni wadau? Nipo nabadilishana mawazo na rafiki yangu ambaye anataraji kuajiriwa na kuwa mwalimu, lakini anachonishangaza eti hataki mwanaume ambaye ni mwalimu kama yeye. Jamani hivi mliobahatika kukutana na walimu wana mawazo kama haya au ni huyu tu na tamaa zake? Maana naona kama ananitega, kwani msisitizo wake eti sisi/mimi tuna uhafadhali kwani kuna semina, safari na vikao. Anadai akiolewa na mwalimu hawataweza kusongesha maisha. Ninachojiuliza, hivi hata akipata mwanaume asiye mwalimu kutakuwa na mapenzi ya kweli?