Hapa kuna skills za hawa wazee wetu Màradona Na Pele

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Kwa wale ambao mmezaliwa Mkapa Akiwa Rais , kipindi Lowassa mwaka 1995 anakataliwa na Mwalimu, Kipindi serikali inauza nyumba Kwa bei ya kutupwa, Kipindi cha Coin ya Shilling Mia kwakweli Uzi huu unaweza usikuhusu Sana,

Hapa kuna skills za hawa wazee wetu Màradona Na Pele lakin Pele anaonekana kuwa Mtu hatari sana kulingana na Video zinavyooneshwa,

 
Hao wazee wetu walisitafu na soka lao ila bahati nzuri MUNGU kamleta nabii na mtume wa mwisho wa soka fundi Gaucho, bahati mbaya naye pia ametuachia soka la kwenye makaratasi, vipaji hakuna tena, watu wanataka matokeo na si burudani tena kama hiyo waliyokuwa nayo wazee wetu.
 
Ulimuona Pele akicheza na upo JF?
Au na wewe umemuona youtube!
Kwani we Messi unewahi kumuona??

Anayeangalia YouTube full match na anayeangalia kwenye TV wote ni wale wale hahaha aiseee

We Messi uliwahi kumuona Live?
 
Jf kila mtu ni mtu mjuaji,amefanikiwa,ana nyumba na magari,kaenda age wengi kila utakae muuliza ni kuanzia 35 kwenda juu umri,kila member ana elimu kubwa kuanzia degree au masters,Phd wengi wanajikuta ni ma master mind.[HASHTAG]#fake[/HASHTAG] life#fake life style.#
 
Hahaaaaaaa noma sana
 
Kwani we Messi unewahi kumuona??

Anayeangalia YouTube full match na anayeangalia kwenye TV wote ni wale wale hahaha aiseee

We Messi uliwahi kumuona Live?
Watu wa miaka ya 60 bhana...
 
Haucho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…