GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
“Most of the Enemies you have are people you once helped in life “
“ Wengi wa Maadui zako ni wale Watu ambao ulishawahi Kuwasaidia Kimaisha “
Ukiniuliza Mimi GENTAMYCINE nasemaje kwa hii ‘ Kitu ‘ niliyoiona mahala jibu langu ni jepesi tu kuwa ni kweli kwa 100%.
Je Mwenzangu unasemaje? Unakubaliana au unapingana nayo vipi?
Nawasilisha.