Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
Katiba izuie uchama bungen wabunge wakichaguliwa wakishaingia bungen wacjitenge na kuanza kujidai mm wa chadema yy wa ccm yaan iwabane mpka waseme ndio vilevle ktk ziara za raic,mawazir n.K vyama vcwepo coz con faida rais anakuja ccm inamkuwa nyuma hapo kaenda kichama co kitaifa kwan hamuon nch nyngne znavyofanya uchaguz ukiisha na vyama vimekufa wabunge jadilin mambo yanayojenga co upuuz wa kugombana kisa vyama
via internal heart
via internal heart