Kwa nilivyo muelewa Pinda alimwagiza bwana mkuu huyo ahakikishe wanafunzi waliokosa mikopo wote wapewe sijui nani mwenye ukweli na final say ktk hili coz inchi hii politics 99% uhalisia 0% tuone itakavyokuwa na sijui hata hayo hata kuwa lini coz Siku zimeyoyoma za usajili.
Mimi sielewi kabisa, hoja hapa ni priority au dosari hongereni sana wenye fomu zenye dosari? poleni sana wenye fani ambazo ni priority lakini fomu zenu hazina dosari.