Hapa lazima ukimbie

Hapa lazima ukimbie

Daviie

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2016
Posts
1,294
Reaction score
1,480
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya Mbagala, akanishtua kwa nyuma akisema "Malogymathematic ndio wewe!? upo kaka?" Nikamjibu nipo kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao akacheka sana,

Mara akaanza kuzungumzia matatizo ya familia yake, nikamwambia tuyaachehayo mimi mwenzako nimepitia makubwa,
aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake,

Nikamzuia nikamwambia " Unadhanifamilia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisachangu hiki…."Miaka kadhaa iliyopita nilikutana namwanamke mjane aliyekua na binti mkubwa tu,mimi na huyo mjane tukaamua kuoana.

Baadayebaba yangu ambae alikuwa mkiwa baada yakufiwa na mama kitambo tu akaamua kumuoabinti yangu wa kambo (yaani binti wa huyu mke wangu niliyemwoa akiwa mjane), hivyo huyo binti yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambona Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wakiume ambapo mke wangu akawa mama mkwe wake

Baadaye binti ya mke wangu yaani binti yangu wakambo (ambaye kwa sasa ndiye mke wa babayangu na hivyo kuwapia mama yangu wa kambo)alipata mtoto wa kiume.

Mtoto huyo wa kiumeakawa mdogo wangu kwa sababu tulichangia baba mmoja, lakini kwa vile pia alikua ni mtoto
wa binti wa mke wangu papo hapo akawa mjukuu wa mke wangu na mimi nikawa babu yake huyomdogo wangu.

Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na mke wangu tulipopata mtoto wa kiume. Sasamsichana (yaani binti ya mke wangu ambaye piani mke wa baba yangu) ambaye ni ndugu wamtoto wangu huyo wa kiume kwa kuchangiamama yao mmoja, akawa pia bibi yake namwanangu (mwee!!).

Hali hiyo ilimfanya pia babayangu kuwa shemeji wa mtoto wangu (achiliakuwa babu yake!!) ambaye ndugu yake wa kike kwa upande wa mama yao ndie mke wake baba yangu. Kwa hiyo mimi ni shemeji yake mamayangu wa kambo ambapo mke wangu ni mamamdogo (anti) wa binti yake mwenyewe .

Mtoto wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe.Kabla sijammalizia jamaa akaondoka Mimi sio mtu wa mchezomchezo

*Sipendagi Ujinga*
 
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya
Mbagala, akanistua kwa nyuma akisema "Malogy
mathematic ndio wewe!? upo kaka?". Nikamjibu
nipo kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao.
Akacheka sana, Mara akaanza kuzungumizia
matatizo ya familia yake, nikamwambia tuyaache
hayo mimi mwenzako nimepitia makubwa,
aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake,
NIKAMSTOPISHA nikamwambia " Unadhani
familia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisa
changu hiki….
"Miaka kadhaa iliyopita nilikutana na
mwanamke mjane aliyekua na binti mkubwa tu,
mimi na huyo mjane tukaamua kuoana. Baadaye
baba yangu ambae alikuwa mkiwa baada ya
kufiwa na mama kitambo tu akaamua kumuoa
binti yangu wa kambo (yaani binti wa huyu mke
wangu niliyemwoa akiwa mjane), hivyo huyo binti
yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo
na Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa
kiume ambapo mke wangu akawa mama mkwe
wa mkwe wake.
Baadaye binti ya mke wangu yaani binti yangu wa
kambo (ambaye kwa sasa ndiye mke wa baba
yangu na hivyo kuwa pia mama yangu wa kambo)
alipata mtoto wa kiume. Mtoto huyo wa kiume
akawa mdogo wangu kwa sababu tulichangia
baba mmoja. lakini kwa vile pia alikua ni mtoto
wa binti wa mke wangu papo hapo akawa mjukuu
wa mke wangu na mimi nikawa babu yake huyo
mdogo wangu.
Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na
mke wangu tulipopata mtoto wa kiume. Sasa
msichana (yaani binti ya mke wangu ambaye pia
ni mke wa baba yangu) ambaye ni ndugu wa
mtoto wangu huyo wa kiume kwa kuchangia
mama yao mmoja, akawa pia bibi yake na
mwanangu (mwee!!). Hali hiyo ilimfanya pia baba
yangu kuwa shemeji wa mtoto wangu (achilia
kuwa babu yake!!) ambaye ndugu yake wa kike
kwa upande wa mama yao ndie mke wake baba
yangu. Kwa hiyo mimi ni shemeji yake mama
yangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama
mdogo (anti) wa binti yake mwenyewe . Mtoto
wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu
ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe.
Kabla sijammalizia jamaa akaondoka
Mimi sio mtu wa mchezomchezo
*Sipendagi Ujinga*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmmmh!Mkuu unaposema mtumishi halali maana yake kuna haramu.Nijuavyo Mungu haonekani kwa macho wala kusikika kwa masikio labda kwenye vitabu vinavyo dhaniwa narudia vinavyo dhaniwa kuwa ni vyake sasa,ithibati ya huyu halali na huyu haramu anatoa nani?na kwa vigezo vipi?Tusaidie mkuu tujifunze
yap ameokoka na sasa ni mtumishi halali wa Mungu
 
Mmmmh!Mkuu unaposema mtumishi halali maana yake kuna haramu.Nijuavyo Mungu haonekani kwa macho wala kusikika kwa masikio labda kwenye vitabu vinavyo dhaniwa narudia vinavyo dhaniwa kuwa ni vyake sasa,ithibati ya huyu halali na huyu haramu anatoa nani?na kwa vigezo vipi?Tusaidie mkuu tujifunze
Hapa apply ule usemi unaosema " wengi wape" . Kama ambavyo watu wengi hasa watanzania wanaamini kuna Mungu, lakini ukiangalia aliyoyafanya Nabii Tito ikaonekana amepotoka tofauti na mtazamo wa wengi basi alihesabika kama mtumishi haramu. Baada ya kudai ameokoka na anasali katika makanisa ambayo wamezoea wengi basi inaonekana huko ndo kwa Mungu halali. Japo kwa watu wenye free minds kama wewe ndo mtasema hakuna halali wala haramu but kidunia ipo hivyo sie kuna namna tunaona sawa na si sawa kwa mazoea na mitazamo yetu
 
Hapo nimekusoma mkuu.Kumbe tunataka Mungu tuliyemuumba kwa mawazo yetu wenyewe yale yaliyo kinyume na uelewa wetu tukayaita haramu.Nimekuelewa sana mkuu
Hapa apply ule usemi unaosema " wengi wape" . Kama ambavyo watu wengi hasa watanzania wanaamini kuna Mungu, lakini ukiangalia aliyoyafanya Nabii Tito ikaonekana amepotoka tofauti na mtazamo wa wengi basi alihesabika kama mtumishi haramu. Baada ya kudai ameokoka na anasali katika makanisa ambayo wamezoea wengi basi inaonekana huko ndo kwa Mungu halali. Japo kwa watu wenye free minds kama wewe ndo mtasema hakuna halali wala haramu but kidunia ipo hivyo sie kuna namna tunaona sawa na si sawa kwa mazoea na mitazamo yetu
 
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya
Mbagala, akanistua kwa nyuma akisema "Malogy
mathematic ndio wewe!? upo kaka?". Nikamjibu
nipo kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao.
Akacheka sana, Mara akaanza kuzungumizia
matatizo ya familia yake, nikamwambia tuyaache
hayo mimi mwenzako nimepitia makubwa,
aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake,
NIKAMSTOPISHA nikamwambia " Unadhani
familia yako ina matatizo?" Basi sikiliza kisa
changu hiki….
"Miaka kadhaa iliyopita nilikutana na
mwanamke mjane aliyekua na binti mkubwa tu,
mimi na huyo mjane tukaamua kuoana. Baadaye
baba yangu ambae alikuwa mkiwa baada ya
kufiwa na mama kitambo tu akaamua kumuoa
binti yangu wa kambo (yaani binti wa huyu mke
wangu niliyemwoa akiwa mjane), hivyo huyo binti
yangu wa kambo akawa mama yangu wa kambo
na Baba yangu akawa mtoto wangu wa kambo wa
kiume ambapo mke wangu akawa mama mkwe
wa mkwe wake.
Baadaye binti ya mke wangu yaani binti yangu wa
kambo (ambaye kwa sasa ndiye mke wa baba
yangu na hivyo kuwa pia mama yangu wa kambo)
alipata mtoto wa kiume. Mtoto huyo wa kiume
akawa mdogo wangu kwa sababu tulichangia
baba mmoja. lakini kwa vile pia alikua ni mtoto
wa binti wa mke wangu papo hapo akawa mjukuu
wa mke wangu na mimi nikawa babu yake huyo
mdogo wangu.
Lakini hayo yote yalikua si kitu mpaka mimi na
mke wangu tulipopata mtoto wa kiume. Sasa
msichana (yaani binti ya mke wangu ambaye pia
ni mke wa baba yangu) ambaye ni ndugu wa
mtoto wangu huyo wa kiume kwa kuchangia
mama yao mmoja, akawa pia bibi yake na
mwanangu (mwee!!). Hali hiyo ilimfanya pia baba
yangu kuwa shemeji wa mtoto wangu (achilia
kuwa babu yake!!) ambaye ndugu yake wa kike
kwa upande wa mama yao ndie mke wake baba
yangu. Kwa hiyo mimi ni shemeji yake mama
yangu wa kambo ambapo mke wangu ni mama
mdogo (anti) wa binti yake mwenyewe . Mtoto
wangu wa kiume ni mpwa wa baba yangu
ambapo mimi nikawa babu yangu mwenyewe.
Kabla sijammalizia jamaa akaondoka
Mimi sio mtu wa mchezomchezo
*Sipendagi Ujinga*
Nimewaza huo mlolongo wa ukoo hadi kichwa kinauma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ni pale kijana wako akioa hebu fafanua mkewe atamwitaje mdogo wako?
 
Back
Top Bottom