Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko pale jirani na ferry bongo man.Jamani naomba wale wajuzi wanifahamishe kwa hapa kwetu tulipozaliwa kwa bahati mbaya,
Mahakama ya juu kabisa ipo ? Ni ipi hiyo? Inasikiliza hoja kwa uhuru na haki ??
Nifahamisheni jamani.
Umenichekesha sana mkuu wangu! Ila ni lazima tuwe na tume huru otherwise hamna kitachofanyika!!Jamani naomba wale wajuzi wanifahamishe kwa hapa kwetu tulipozaliwa kwa bahati mbaya,
Mahakama ya juu kabisa ipo ? Ni ipi hiyo? Inasikiliza hoja kwa uhuru na haki ??
Nifahamisheni jamani.
Hapa ishu sio mahakama ya juu, ishu ni katiba!Jamani naomba wale wajuzi wanifahamishe kwa hapa kwetu tulipozaliwa kwa bahati mbaya,
Mahakama ya juu kabisa ipo ? Ni ipi hiyo? Inasikiliza hoja kwa uhuru na haki ??
Nifahamisheni jamani.
Watoa maamuzi sasa ili ifanyike hivyo, ndiyo hao wanaotaka kuua upinzani, kila siku wanafurahia kusikia fulani kakamatwaHapa ishu sio mahakama ya juu, ishu ni katiba!
Hairuhusu matokeo kupingwa mahakamani na yakishatangazwa ndo basi tena!
Hapa kwetu inahitajika overhaul changes ya NEC na katiba kwa ujumla! Hapa ndo pa kuanzia!
eehh kuna mahakami inaitwa CCM??IPO ndiyo huijui CCM