Hapa mkopo inawezekana kweli?

Hapa mkopo inawezekana kweli?

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
Nilimaliza form4 2oo3.,nilisoma shle ya binafsi.
Kombi haikbalance, kwaio sikchagliwa f5.
NingeendeLEA f5 shle binafsi, lakini mfadhili aliishia hapo...baada
ya
hapo
maisha
yaliendelea ndipo nikafanya acsee 2o14 kama pc. Kombi ya cbg kwa alama (e,d,d)
daraja.iii.13
nimeomba kozi za kipambele zikiwemo za afya na elim. Je, mkopo hapo napewa? Nina hof kwa sabab (1)nilisoma shle binifsi f1-f4 (2) acsee nimefanya kama pc...(3) ka age kamesogea


(samahani kwa maandishi, kna helfi inanigomea a,e,i,o,?)
 
Nina kila sababu ya kukupongeza, hongera sana kijana! Private candidate kupata hizo marks ni jambo la kujipongeza..... kuhusu ushauri wangu wa wewe kupata mkopo au hapana tafuta kitabu cha TCU, hapa JF kuna watu ambao bila kumtatisha mwenzao tamaa hawajisikii vizuri! Nitumie private msg (PM) kwani tunasafiri kwa boti moja hivyo ni vizuri tukashauriana.
 
nina kila sababu ya kukupongeza, hongera sana kijana! Private candidate kupata hizo marks ni jambo la kujipongeza..... Kuhusu ushauri wangu wa wewe kupata mkopo au hapana tafuta kitabu cha tcu, hapa jf kuna watu ambao bila kumtatisha mwenzao tamaa hawajisikii vizuri! Nitumie private msg (pm) kwani tunasafiri kwa boti moja hivyo ni vizuri tukashauriana.

ok, kaka.
Na pm soon!
 
Fanya hivi Mkuu,omba Bsc with Education ya Udsm/Duce,mkopo 100% kwa wote irrespective of kigezo chochote.Pia kuna Nursing ya Cuhas nayo uko eligible na mkopo upo wa kutosha.
 
Back
Top Bottom