una div gan mwaka huu mkuu?
nina kila sababu ya kukupongeza, hongera sana kijana! Private candidate kupata hizo marks ni jambo la kujipongeza..... Kuhusu ushauri wangu wa wewe kupata mkopo au hapana tafuta kitabu cha tcu, hapa jf kuna watu ambao bila kumtatisha mwenzao tamaa hawajisikii vizuri! Nitumie private msg (pm) kwani tunasafiri kwa boti moja hivyo ni vizuri tukashauriana.