Hapa mkuu Lifecode alikuwa anamaanisha nini?

Ushirikina ni nini? Nani alianzisha ushirikina? Kwa manufaa gani aliuanzisha? Unaweza kuthibitisha ushirikina ukoje kwa kuutenganisha na nadharia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikuanzie mbali kidogo, kisha nijibu maswali yako kwa kuweka msingi huu wazi.

Unakubali dunia imeumbwa au imejiumba ? Swali hili lina maana, naelekea kujibu swali maswali yako. Usiwe na haraka.
 
It is called hallucinations

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli,unajua kama ni mtu wakufatilia mambo mbali mbali ktk hii dunia una weza ukashangaa sna,na unaweza ukasema kitu/vitu ulivyo soma na kwa uhalisia watu wasikuelewe.kuna watu wanavitu mpaka unajiuliza ni hii hii dunia au laa.ukiona mtu anatoa elimu juu ya jambo frani fatilia kwa akili yako ulinganishe na uhalisia utapata kitu/vitu na utakuwa umeelimika pia,big up kwa jicho lililo ng'amua hilo
Kuna mambo mengi sana hapa duniani yana changanya sana...



Cc: mahondaw

Sent from my itel it1408 using JamiiForums mobile app
 
Zuri anazingua kinoma huyu kenge ndo anamkimbizaga lifecode kwa maswali yake ya kikirikuu kuna thread moja hivi alikuja kuvuruga naona kaja na huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…