Hapa Mlimani City kuna nini leo?

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Naona kuna mapambio makali snaa ya xmass yanapigwa,hiz shots za hapa samak na huu upako utamatch kwel heb ngoja nijongee kdogo kwenye upako na hil gambe kichwan

Ni holiday wakuu na ndo imeanza hvo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread umeandika ukiwa unayaongea haya mkuu ha ha ha
 
Hakuna mnuso hapo...?,nataka nitembee na ndizi na pilipili tayari tayari
 
AIC DAR ES SALAAM CHOIR Tunakukarbisha kutazama Video ya Hossiana/Hossana. Hakika ni Wimbo wa kumshukuru Mungu kwa Upendo wake wa ajabu kwa kutuptia mkombozi wa ulimwengu Yesu Kristo.


Source: AIC DAR ES SALAAM CHOIR
 
Nimepita juzi kuna watu kama wamemwagwa na Yutong...sijui leo na Kesho itakuwaje

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…